30 Nov 2013

SIASA

Mambo si mazuri kwa kaka yangu Zitto Kabwe baada ya kashifa inayomfanya aonekana kama ni pandikizi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo,tunamwombea kwa Mungu hiki kipindi kigumu cha mpito kimwepuke




Watu wanaokesekana katika nchi yetu ya Tanzania wanapatikana kwa uchache sana hata hivyo pamoja na uchache wao ndani ya taifa,ni watu wanaopigwa vita sana katika taifa hili kwani wale wakoloni waafrika hawataki kuwaona watu kama hawa wakivuta pumzi ya muumba wao.

No comments:

Post a Comment