30 Nov 2013

EXPERT

MICHEZO NA BURUDANI

SIASA

Mambo si mazuri kwa kaka yangu Zitto Kabwe baada ya kashifa inayomfanya aonekana kama ni pandikizi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo,tunamwombea kwa Mungu hiki kipindi kigumu cha mpito kimwepuke




Watu wanaokesekana katika nchi yetu ya Tanzania wanapatikana kwa uchache sana hata hivyo pamoja na uchache wao ndani ya taifa,ni watu wanaopigwa vita sana katika taifa hili kwani wale wakoloni waafrika hawataki kuwaona watu kama hawa wakivuta pumzi ya muumba wao.

RAMANI ZA NYUMBA

Zifuatazo ni ramani za nyumba tunazoziuza kwa bei nafuu sana ..........................




VIWANJA NA NYUMBA

Vifuatavyo ni viwanja na nyumba zinazouzwa,bei zetu ni nafuu sana tupo kukufanikishia ndoto zako


     
                                                                 hapo juu ni viwanja







FURNITURES

samani tofautitofauti kwa matumizi ya nyumbani na ofisini


samani za ofisini
mambo ya ofisi

mambo ya ofisi


mambo ya sebuleni

mambo ya chumbani




28 Nov 2013

nchi ya kitu kidogo

Tanzania ni nchi ya kitu kidogo miaka kadhaa iliyopita lakini sasa ni nchi ya kitu kikubwa kwani sio sisi tu tukuao hata hicho kitu kidogo nacho kinakua,,,,,,,